Web address of the page:
https://www.medjugorje.ws/sw/messages/180825m/
www.medjugorje.ws
»
Our Lady of Medjugorje Messages
»
Ujumbe, 25 Agosti 2018
Ujumbe, 25 Agosti 2018
Ujumbe,
25 Agosti 2018
“
W
anangu wapendwa! Huu ndio wakati wa neema. Wanangu, salini zaidi, semeni kidogo mkamwache Mungu awaongoze katika njia ya kutubu. Mimi nipo pamoja nanyi na kuwapenda kwa upendo wa kimama. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”