Language 
   

Ujumbe, 25 Oktoba 2025

Wanangu wapendwa! Aliye Juu Zaidi, kwa wema wake, amenipa niwaongoze katika njia ya amani. Wengi wameitikia na wanaomba, lakini kuna wengi ambao hawana amani na hawajamjua Mungu wa upendo. Kwa hivyo, wanangu, salini na pendeni, fanyeni vikundi vya maombi ili kuwahimiza wengine kutenda mema. Mimi nipo pamoja nanyi na ninaomba kwa ajili ya uongofu wenu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
25 Septemba 2025 (Monthly)
25 Novemba 2025 (Monthly)
 
To compare Medjugorje messages with another language versions choose