Our Lady of Medjugorje Messages containing 'na'
Total found:
216
Ujumbe, 25 Januari 2023
“
W
anangu wapendwa! Ombeni pamoja nami kwa ajili ya amani maana shetani anataka vita
na
chuki katika mioyo
na
mataifa. Kwa hiyo salini
na
, katika siku zenu, toeni sadaka kwa kufunga
na
kutubu ili Mungu awape amani. Wakati ujao uko kwenye njia panda kwa sababu mwanadamu wa kisasa hataki Mungu. Kwa hiyo ubinadamu unaelekea kwenye upotevu. Ninyi, wanangu, ni tumaini langu. Ombeni pamoja nami kwamba niliyoyaanza Fatima
na
hapa yatimie. Ombeni
na
mshuhudie amani katika mazingira yenu
na
muwe watu wa amani. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Februari 2023
“
W
anangu wapendwa! Ongokeni
na
mvae mavazi ya toba
na
maombi ya kina ya kibinafsi
na
kwa unyenyekevu mwombe Aliye Juu amani. Katika wakati huu wa neema Shetani anataka kuwapotosha ninyi, nanyi wanangu, mwangalieni Mwanangu
na
kumfuata kuelekea Kalvari, kwa kujikana
na
kufunga. Niko pamoja nanyi kwa sababu Aliye Juu ameniruhusu niwapende ninyi
na
kuwaongoza kuelekea furaha ya moyo, katika imani inayokua ndani ya wale wote wanaompenda Mungu zaidi ya vitu vyote. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 18 Machi 2023 - Tokeo la kila mwaka kwa Miriana Dragićević-Soldo
Mwotaji Mirjana Dragićević-Soldo alikuwa
na
matukio ya kila siku kutoka Juni 24, 1981 hadi Desemba 25, 1982. Katika hafla ya kutokezwa kwake kwa kila siku, akimfunulia siri ya kumi, Bikira alimfunulia kwamba atakuwa
na
tukio la kila mwaka mnamo Machi 18
na
ndivyo ilivyokuwa katika miaka hii yote. Tukio hilo lilianza saa 1.33 jioni
na
kudumu hadi saa 1.39.
“
W
anangu wapendwa, ninawaalika mpate kumjua Mwanangu vizuri iwezekanavyo kwa sala
na
rehema. Ili kwa mioyo safi
na
iliyo wazi mjifunze kusikiliza. Sikilizeni Mwanangu anachowaambieni ili mpate kuona tena kiroho. Kama watu wamoja wa Mungu, kwa ushirika
na
Mwanangu, ishuhudieni kweli kwa maisha yenu. Ombeni, wanangu, ili kwamba pamoja
na
Mwanangu muweze kuleta amani, furaha
na
upendo kwa ndugu zenu wote. Mimi ni pamoja nanyi
na
ninawabariki kwa baraka zangu za kimama.
”
Ujumbe, 25 Aprili 2023
“
W
anangu wapendwa! Ninawaalika ninyi nyote kuwa waletaji wa amani
na
furaha ya Yesu Mfufuka kwa wale wote walio mbali
na
maombi ili kwa njia ya maisha yenu, upendo wa Yesu uwabadilishe
na
kuwa katika maisha mapya, maisha ya wongofu
na
utakatifu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Mei 2023
“
W
anangu wapendwa! Ninawaalika ninyi mwende katika mazingira ya asili
na
kusali ili kwamba Aliye Juu Sana aseme
na
moyo wenu
na
kwamba muweze kuhisi uwezo wa Roho Mtakatifu kushuhudia upendo ambao Mungu anao kwa kila kiumbe. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Juni 2023
“
W
anangu wapendwa! Aliye Juu ameniruhusu niwe miongoni mwenu, niwaombee, niwe Mama yenu
na
kimbilio lenu. Ninawaalika wanangu, mrudieni Mungu
na
kwenye maombi
na
Mungu atawabariki kwa wingi. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Julai 2023
“
W
anangu wapendwa! Katika wakati huu wa neema, ambao Aliye Juu amenituma niwapende ninyi
na
kuwaongoza katika njia ya uongofu, toeni sala zenu
na
sadaka zenu kwa ajili ya wale wote walio mbali
na
wasiojua upendo wa Mungu. Ninyi, wanangu, muwe mashahidi wa upendo
na
amani kwa mioyo yote isiyotulia. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Agosti 2023
“
W
anangu wapendwa! Katika wakati huu wa neema ninawaalika ninyi kwenye maombi kwa moyo. Mioyo yenu, wanangu, igeuzwe kuelekea mbinguni kwa maombi, ili mioyo yenu ipate kuhisi Mungu wa upendo anayewaponya
na
kuwapenda kwa upendo mkuu. Mimi niko pamoja nanyi kuwaongoza kwenye njia ya uongofu wa moyo. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Septemba 2023
“
W
anangu wapendwa! Ninawaalika kwenye maombi ya nguvu. Umamboleo unataka kuingia katika mawazo yenu
na
kuwaibia furaha ya maombi
na
kukutana
na
Yesu. Kwa hiyo, wanangu wapendwa, fanyeni upya sala katika familia zenu ili moyo wangu wa kimama ufurahi kama siku za kwanza nilipowachagua ninyi
na
jibu lilikuwa ni maombi mchana
na
usiku
na
mbingu haikunyamaza bali ilitolea kwa mahali hapa neema, amani
na
baraka kwa wingi. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Oktoba 2023
“
W
anangu wapendwa! Pepo za uovu, chuki
na
wasiwasi huvuma duniani kote kuharibu maisha yote. Kwa hiyo Aliye Juu amenituma kwenu ili niwaongoze kwenye njia ya amani
na
ushirika
na
Mungu
na
wanadamu. Ninyi, wanangu, ni mikono yangu iliyopanuliwa: ombeni, mfunge
na
toeni sadaka kwa ajili ya amani, hazina ambayo kila moyo unatamani. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Novemba 2023
“
W
anangu wapendwa! Wakati huu
na
uunganishwe
na
sala kwa ajili ya amani
na
kwa matendo mema ili kusudi ionekane furaha ya kumngoja Mfalme wa amani mioyoni mwenu, ndani ya familia zenu
na
katika ulimwengu ambao hauna matumaini. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Ujumbe, 25 Desemba 2023
“
W
anangu wapendwa! Ninawaletea Mwanangu ili aijaze mioyo yenu amani kwa sababu Yeye ni amani. Wanangu, mtafuteni Yesu katika ukimya wa mioyo yenu ili azaliwe upya. Ulimwengu unamhitaji Yesu, hivyo wanangu, mtafuteni kwa maombi maana anajitoa kila siku kwa kila mmoja wenu.
”
Mama yetu alikuja leo akiwa amevalia mavazi ya heshima akiwa
na
mtoto Yesu mikononi mwake. Yesu alinyoosha mkono wake kama ishara ya baraka
na
Mama yetu alituombea kwa lugha ya aramaika.
Ujumbe, 25 Februari 2024
“
W
anangu wapendwa! Salini
na
mfanye upya moyo wenu ili lile jema mlilopanda lizae matunda ya furaha
na
ushirika
na
Mungu. Magugu yamechukua mioyo mingi
na
imekuwa tasa. Kwa hiyo ninyi, wanangu, muwe mwanga, upendo
na
mikono yangu iliyonyoshwa katika ulimwengu huu unaomtamani Mungu ambaye ni upendo. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Karibuni Ujumbe, 18 Machi 2024 - Tokeo la kila mwaka kwa Miriana Dragićević-Soldo
Mwotaji Mirjana Dragićević-Soldo alikuwa
na
matukio ya kila siku kutoka Juni 24, 1981 hadi Desemba 25, 1982. Katika hafla ya kutokezwa kwake kwa kila siku, akimfunulia siri ya kumi, Bikira alimfunulia kwamba atakuwa
na
tukio la kila mwaka mnamo Machi 18
na
ndivyo ilivyokuwa katika miaka hii yote. Tukio hilo lilianza saa 1.33 jioni
na
kudumu hadi saa 1.39.
“
W
anangu wapendwa, ninawaalika mpate kumjua Mwanangu vizuri iwezekanavyo kwa sala
na
rehema. Ili kwa mioyo safi
na
iliyo wazi mjifunze kusikiliza. Sikilizeni Mwanangu anachowaambieni ili mpate kuona tena kiroho. Kama watu wamoja wa Mungu, kwa ushirika
na
Mwanangu, ishuhudieni kweli kwa maisha yenu. Ombeni, wanangu, ili kwamba pamoja
na
Mwanangu muweze kuleta amani, furaha
na
upendo kwa ndugu zenu wote. Mimi ni pamoja nanyi
na
ninawabariki kwa baraka zangu za kimama.
”
Ujumbe, 25 Machi 2024
“
W
anangu wapendwa! Katika wakati huu wa neema, ombeni pamoja nami ili mema yapate kushinda ndani yenu
na
karibu nanyi. Hasa, wanangu, ombeni kwa umoja
na
Yesu katika njia yake ya msalaba. Wekeni katika maombi yenu ubinadamu huu unaotangatanga bila Mungu
na
bila upendo wake. Muwe maombi, muwe mwanga
na
mashahidi kwa wale wote mnaokutana nao, enyi wanangu, ili Mungu wa rehema awarehemu.. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
Karibuni Ujumbe, 25 Aprili 2024
“
W
anangu wapendwa! Nipo pamoja nanyi kuwaambia kuwa nawapenda
na
ninawasihi sana muombe maana shetani ana nguvu
na
kila siku nguvu zake zinazidi kuimarika kupitia wale waliochagua kifo
na
chuki. Ninyi, wanangu, muwe maombi
na
mikono yangu ya upendo iwanyooshee wote walio gizani
na
kuitafuta nuru ya Mungu wetu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
”
To compare Medjugorje messages with another language versions choose
<<Previous
1
...
10
11