| Search this website | ||||
Ujumbe, 25 Machi 2017Other languages: English, العربية, Беларуская, Čeština, Deutsch, Español, Français, Hrvatski, Italiano, Kiswahili, Latviešu, Magyar, Nederlands, Polski, Português, Română, Русский, Slovenčina, Slovenščina, Suomi, Tiếng Việt, Українська
“Wanangu wapendwa! Katika wakati huu wa neema nawaalika nyote kufungua mioyo yenu kwa huruma ya Mungu ili kwa ajili ya sala, toba na maamuzi kwa ajili ya utakatifu muanze maisha mapya. Majira haya ya kuchipua yanawaita, katika mawazo yenu na mioyo yenu, kuishi maisha mapya, kujifanya upya. Kwa hiyo, wanangu, mimi nipo pamoja nanyi niwasaidie ili mkatakati wa kukata shauri muweze kusema NDIYO kwa Mungu na amri za Mungu. Ninyi si peke yenu, mimi nipo pamoja nanyi kwa njia ya neema ambayo Yeye Aliye juu hunijalia kwa ajili yenu na kwa uzao wenu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu. ” To compare Medjugorje messages with another language versions choose | | |||
|
This page Our Lady of Medjugorje Messages ![]() Find messages Enter words or phrase Random Messages “Little children, I invite you again to decide for prayer because through prayer, you will be able to live the conversion. Each one of you shall become in the simplicity, similar to a child which is open to the love of the Father.” ( From message, 25 Julai 1996 ) |
Medjugorje Live Current time in Medjugorje (CET): Deep concern & disturbing information: Latest news & articles 25 Septemba 2024 Latest videos 11 Juni 2018 10 Mei 2018 13 Aprili 2018 31 Machi 2018 16 Machi 2018 Most read articles Most watched videos Most watched Medjugorje Photos Gallery albums ![]() Favorite content related to Medjugorje" | |||
| Our Lady of Medjugorje Messages Medjugorje Web Sites Links Medjugorje News & Articles Medjugorje Videos Picture & Photo Galleries The Polls | Copyright © 2005-2026
| |||
![[EN]](/data/default/css/img/en-only.gif)
![[O]](/data/olm/images/__mt/nw.gif)
