Ujumbe, 25 Septemba 2024


 

Karibuni Ujumbe, 25 Septemba 2024 [O]

Wanangu wapendwa! Kwa kuwapenda ninyi, Mungu alinituma kati yenu ili kuwapenda ninyi na kuwasihi katika sala na uongofu, kwa ajili ya amani ndani yenu, katika familia zenu na katika dunia. Wanangu, msisahau kwamba amani ya kweli huja tu, kwa njia ya maombi, kutoka kwa Mungu ambaye ndiye amani yenu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
To compare Medjugorje messages with another language versions choose

For God to live in your hearts, you must love.

`