Ujumbe, 25 Januari 2025


 
Wanangu wapendwa! Katika mwaka huu wa neema ninawaalika kwenye uongofu. Wanangu wapendwa, mtangulizeni Mungu katika maisha yenu na matunda yake yatakuwa upendo kwa jirani na furaha ya kushuhudia; utakatifu wa maisha yenu utakuwa ushuhuda wa kweli wa imani. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
To compare Medjugorje messages with another language versions choose
`