Ujumbe, 25 Aprili 2025


 
Wanangu wapendwa! Upepo wa kutotulia, ubinafsi na dhambi huteka nyoyo nyingi na kuzipeleka kwenye kutotulia na kuangamia. Kwa hiyo, ninawaalika ninyi, wanangu, mrudi kwa Mungu na kusali ili mpate kuwa na afya njema mioyoni mwenu na katika nchi mnayoishi. Ninawapenda ninyi wanangu, na ndiyo maana sichoki kuwaalika mgeuke. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
To compare Medjugorje messages with another language versions choose

For God to live in your hearts, you must love.

`