Ujumbe, 25 Mei 2025


 

Ujumbe, 25 Mei 2025 [O]

Wanangu wapendwa! Katika wakati huu wa neema ninawaalika muwe watu wa matumaini, amani na furaha, ili kila mtu awe mtunza amani na mpenda maisha. Wanangu, ombeni kwa Roho Mtakatifu ili awajaze kwa nguvu za Roho wake Mtakatifu za ujasiri na kuachwa. Wakati huu pia utakuwa zawadi kwenu na safari katika utakatifu kuelekea uzima wa milele. Niko pamoja nanyi na ninawapenda. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
To compare Medjugorje messages with another language versions choose

For God to live in your hearts, you must love.

`