Ujumbe, 25 Januari 2026


 

Karibuni Ujumbe, 25 Januari 2026 [O]

Wanangu wapendwa! Leo nawaalika muwe sala na baraka kwa wale wote ambao hawajajua upendo wa Mungu. Wanangu, iweni tofauti na wengine na wenye mtazamo chanya, watu wa maombi na upendo kwa Mungu, ili kwa maisha yenu mpate kuwa ishara ya upendo wa Mungu kwa wengine. Ninawabariki kwa baraka yangu ya kimama na kuwaombea kila mmoja wenu mbele ya Mwanangu Yesu. Asanteni kwa kuitikia wito wangu.
To compare Medjugorje messages with another language versions choose
`